notoriousic
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 425
- 484
Hakuna timu la kijinga kama thimba, hata kombe la mapinduzi wanashindwaKaribuuuuuuuu cheeeeersssd
Mm shabiki wa mbeya cityWewe shabiki wa ndanda
Daaaah kipi kinauma zaidi?Kupoteza kwenye fainali au nusu fainali?Teh.....Kimoja tu....Mimba
Dadadeq
Naona yanga wamelibeba hongereniHakuna timu la kijinga kama thimba, hata kombe la mapinduzi wanashindwa
Kka angalau umefufuka, ndio makombe yao hao Kaka, tuwaache wapambaneTeh.....Kimoja tu....Mimba
Dadadeq
Hamkawii kuvunja Muungano nyie mikia. Njoo lambalamba baby ufarijike na kombeUnanizidishia maumivu ujue......nipe moyo japo kidogo....unakua kama anko..kauli ngumu tu[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]