Hahahaaaaa poleni sanaSi bora sisi tumefungwa moja kuliko nyie 4, halafu imefungwa brazil itakua sìmba msitupigie kelele
Nipo hapa. Usiku mzuri sana wa leoJamani mashabiki wa Yanga mko wapi tushangilie?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Guasa Amboni nasmapesa mgaagaa na upwa Makoye Matale Bantu lady na woteeeeeee
Cheeeeeerrrrssss [emoji485]
Kumbe tulijipigiaMm shabiki wa mbeya city
Jamani mashabiki wa Yanga mko wapi tushangilie?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Guasa Amboni nasmapesa mgaagaa na upwa Makoye Matale Bantu lady Matola na woteeeeeee
Cheeeeeerrrrssss [emoji485]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha maneno weka muziki
Kamoja tu.....mnachooongaa
NdioooooKwahio Simba kalamba KONI?
Tumewachia wabebe wadogo zetu AzamNina raha, nina furaha, nina amani moyoni. Halafu ni weekend imeanza. Hatari kabisa, mji uko kimyaaa. Tunawashukuru Azam, kazi mmeifanya inavyotakiwa...
Hongera yanga kwa ushindi mlioupataJamani mashabiki wa Yanga mko wapi tushangilie?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Guasa Amboni nasmapesa mgaagaa na upwa Makoye Matale Bantu lady Matola na woteeeeeee
Cheeeeeerrrrssss [emoji485]
Mama si kwa raha niliyonayo hapa.midomo fyatuuuuuuuuuuJamani mashabiki wa Yanga mko wapi tushangilie?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Guasa Amboni nasmapesa mgaagaa na upwa Makoye Matale Bantu lady Matola na woteeeeeee
Cheeeeeerrrrssss [emoji485]