Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

Walitusimanga sana 4G ikaongezeka tena ikawa 8G kumbe malipo n hapahapa dunian [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi Yanga mmefurahiiiii mnajiona kama Azam B

Haya tumeni salamu kwa watu watatu.
Salamu zangu za kwanza nazituma kwa mahabuba nyongo mkalia ini,moyo & roho yangu The bold

Salamu za pili kwa mashabiki wenzangu wote wa Yanga nawapenda sana

Salaam zangu za tatu kwa mashabiki wa Simba nawaambia Jamani eeeeeh mbio za sakafuni huishia ukingoni.
 
Koni ya Azam tamu si mchezo!
 
Tukutane VPL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…