Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Acha kabisa kwanza hapa tushafungua Chapagne Perrier-Jouet, karibu upunguze machungu. Tutawapokea kiaina yake, Cheeers!!!Kwahiyo mmejiandaaje kuwapokea Azam hapo Bandarini wanaporudi na Kombe lao
hahaha...haya bhana!!Acha kabisa kwanza hapa tushafungua Chapagne Perrier-Jouet, karibu upunguze machungu. Tutawapokea kiaina yake, Cheeers!!!
Hakika aisee machungu yamepunguaMaisha bila unafki hayaendi.
Dongo ulaya lile sio mchezo huwezi vunja bila nyundo .Amani Stadium hakuna viti vya kuvunja
Pole sana.Simba anashinda na siitaji mjadala na mtu yoyote na sitaki kukosolewa
Naona utakua umeingia uvunguni kabisa baada ya kulamba asklim yako maana si kwa aibu hizo za kujiapizaAzam hachomoki hata kwa dawa
Niko hapa nimeng'olewa jino na shabiki mmoja wa mikia nashindwa hata kuongea vizuri.Jamani mashabiki wa Yanga mko wapi tushangilie?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Guasa Amboni nasmapesa mgaagaa na upwa Makoye Matale Bantu lady Matola na woteeeeeee
Cheeeeeerrrrssss [emoji485]
Endelea kujifarijiHawa azam hawana hata mzuka wamepooza Kama wazee
1 na 4 ipi kubwa??? Wewe ndo unajifariji kumshangilia upunguze machungu ya vinne.Jifariji tu hakuna namna 4 kubwa Sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Endelea kujifariji
Na kweli kadunda!Simba mwendo mdundo
Yanga mmeanza kushabikia Azam lini?
Nne ushazisahau au Leo ndo unajifariji?Na kweli kadunda!
John bocco kanyanyua kwapa huko zenji. Halafu unasema azam haina mzuka.1 na 4 ipi kubwa??? Wewe ndo unajifariji kumshangilia upunguze machungu ya vinne.Jifariji tu hakuna namna 4 kubwa Sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]