Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

Kesho utasikia
Mfungaji umri wake ni mkubwa hivyo wakata rufaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Simba wangechukua hilo kombe ningehamia Iraq.

Japo nakubali beki yao imekaa poa
 
1 na 4 ipi kubwa??? Wewe ndo unajifariji kumshangilia upunguze machungu ya vinne.Jifariji tu hakuna namna 4 kubwa Sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
John bocco kanyanyua kwapa huko zenji. Halafu unasema azam haina mzuka.

Relax huu mchezo hauhitaji hasira[emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Back
Top Bottom