Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

Sasa nyie mashabiki maandazi wa mikia, mkifungwa mnapotea hapa, ni kwamba ndio hatutajua kama Azam kawapokonya tonge mdomoni ama? Rudini hapa uzi wenu huu. Mngechukua kombe la bonanza mngekesha. Mshaambiwa kesheni, hamjui siku wala saa...
 
makombe ya kupanda ndege wamekosa sasa hata hili la boti nalo? Mpira wetu maneno kweli.
 

Attachments

  • C2EzNJyWQAI21Dt.jpg
    14.7 KB · Views: 42
SIMBA KANYWESHWA CHAI YA BAKHRESA HUKO ZENJI......
 

Attachments

  • C2EvVqQW8AA2cCx.jpg
    81.8 KB · Views: 57
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…