Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka nusu nizimie!Niko hapa nimeng'olewa jino na shabiki mmoja wa mikia nashindwa hata kuongea vizuri.
Pole sana mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka nusu nizimie!Niko hapa nimeng'olewa jino na shabiki mmoja wa mikia nashindwa hata kuongea vizuri.
Vipi mkuu?Unayakumbuka maneno yangu au unajifanya kujisahaulisha?Sisi shida yetu Yanga, hatuna tatizo na Azam, ni ndugu zetu acha wachukue hili kwa sababu la ligi kuu ni letu
Kwani wewe ni Azam? Kwanza kwa taarifa yako mimi sio simba sio yanga sio azam, nchi yangu inatosha kujigambia.Vipi mkuu?Unayakumbuka maneno yangu au unajifanya kujisahaulisha?
Yamekuwa haya tena?Kama mlitaka kuwaachia msingeenda uwanjani kabisa [emoji12]
Kazima simu au yuko ICU kwa presha..Wapi Sembo?
Ghafla kaingia eneo korofi hamna network.
Tulisema itakuwa ajabu Azam kupanda mlima washindwe kichuguu!
Kama unaona juice muhimu nenda azam mtapewa hata mia.Wewe ndo urelax yanga mlinyanyua nini? Taratibu unakuja napopataka.... At least tumepata nauli umesahau mlikimbia juice Mara mbili? Endelea kupunguza machungu ila rekodi ya 4G iko palepale hadi mwakani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mlipokuwa mnawafunga wale wala urojo zilikuwa za maana kweli unajua kujisahailisha. Huko vpl kuna la maana lipi ulilolifanya? Bora tumeambulia nauli.Kama unaona juice muhimu nenda azam mtapewa hata mia.
Pandeni boti tukutane vpl sasa.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] kwani bingwa nani aisee?Mlipokuwa mnawafunga wale wala urojo zilikuwa za maana kweli unajua kujisahailisha. Huko vpl kuna la maana lipi ulilolifanya? Bora tumeambulia nauli.
Kwa maana nyingine hatujarudi bure vipi nyie mlienda kula urojo. Nakukumbusha saanya hachezeshi ligi kuu tena. Anzeni kumpigia magoti manji afanye ile miamala.[emoji12] [emoji12] [emoji12] kwani bingwa nani aisee?
Kwahiyo mliingia fainali ili mpate nauli ya kurudia dar au?
[emoji85]Kwani wewe ni Azam? Kwanza kwa taarifa yako mimi sio simba sio yanga sio azam, nchi yangu inatosha kujigambia.
Kwahiyo ndio inawafariji eeh hahahah.Kwa maana nyingine hatujarudi bure vipi nyie mlienda kula urojo. Nakukumbusha saanya hachezeshi ligi kuu tena. Anzeni kumpigia magoti manji afanye ile miamala.
Wacha weee! Na pia wewe siyo UKAWA wala ccm, hivi mnadanganya nani hapa hasa? Au unajifariji tu?Kwani wewe ni Azam? Kwanza kwa taarifa yako mimi sio simba sio yanga sio azam, nchi yangu inatosha kujigambia.
Umegusa kidonda halafu wategemea nini!Asubuhi hii nimeenda dukani kwa jamaa kavaa jezi ya SIMBA.. nikamwambia naomba UNGA WA NGANO chapa AZAM KILO 1 nataka nikapike chapati,
Naona kafunga Duka katoka zake hajanisemesha...
Nahisi kenda kuchukua MIZANI YA KUPIMIA. [emoji38][emoji38][emoji2]
[HASHTAG]#AZAM[/HASHTAG]..Bidhaa bora ya Bakhresa
Hawana kitu hao makelele mengi...makombe ya kupanda ndege wamekosa sasa hata hili la boti nalo? Mpira wetu maneno kweli.