Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asubuhi hii nimeenda dukani kwa jamaa kavaa jezi ya SIMBA.. nikamwambia naomba UNGA WA NGANO chapa AZAM KILO 1 nataka nikapike chapati,
Naona kafunga Duka katoka zake hajanisemesha...
Nahisi kenda kuchukua MIZANI YA KUPIMIA. [emoji38][emoji38][emoji2]
[HASHTAG]#AZAM[/HASHTAG]..Bidhaa bora ya Bakhresa