Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

Vipi mkuu?Unayakumbuka maneno yangu au unajifanya kujisahaulisha?

Yamekuwa haya tena?Kama mlitaka kuwaachia msingeenda uwanjani kabisa [emoji12]
Kwani wewe ni Azam? Kwanza kwa taarifa yako mimi sio simba sio yanga sio azam, nchi yangu inatosha kujigambia.
 
Wapi Sembo?

Ghafla kaingia eneo korofi hamna network.

Tulisema itakuwa ajabu Azam kupanda mlima washindwe kichuguu!
 
Wewe ndo urelax yanga mlinyanyua nini? Taratibu unakuja napopataka.... At least tumepata nauli umesahau mlikimbia juice Mara mbili? Endelea kupunguza machungu ila rekodi ya 4G iko palepale hadi mwakani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama unaona juice muhimu nenda azam mtapewa hata mia.

Pandeni boti tukutane vpl sasa.
 
Kama unaona juice muhimu nenda azam mtapewa hata mia.

Pandeni boti tukutane vpl sasa.
Mlipokuwa mnawafunga wale wala urojo zilikuwa za maana kweli unajua kujisahailisha. Huko vpl kuna la maana lipi ulilolifanya? Bora tumeambulia nauli.
 
Mlipokuwa mnawafunga wale wala urojo zilikuwa za maana kweli unajua kujisahailisha. Huko vpl kuna la maana lipi ulilolifanya? Bora tumeambulia nauli.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] kwani bingwa nani aisee?

Kwahiyo mliingia fainali ili mpate nauli ya kurudia dar au?
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] kwani bingwa nani aisee?

Kwahiyo mliingia fainali ili mpate nauli ya kurudia dar au?
Kwa maana nyingine hatujarudi bure vipi nyie mlienda kula urojo. Nakukumbusha saanya hachezeshi ligi kuu tena. Anzeni kumpigia magoti manji afanye ile miamala.
 
Kwa maana nyingine hatujarudi bure vipi nyie mlienda kula urojo. Nakukumbusha saanya hachezeshi ligi kuu tena. Anzeni kumpigia magoti manji afanye ile miamala.
Kwahiyo ndio inawafariji eeh hahahah.

Himid Mao
 
Asubuhi hii nimeenda dukani kwa jamaa kavaa jezi ya SIMBA.. nikamwambia naomba UNGA WA NGANO chapa AZAM KILO 1 nataka nikapike chapati,
Naona kafunga Duka katoka zake hajanisemesha...
Nahisi kenda kuchukua MIZANI YA KUPIMIA. [emoji38][emoji38][emoji2]

[HASHTAG]#AZAM[/HASHTAG]..Bidhaa bora ya Bakhresa
 
Umegusa kidonda halafu wategemea nini!
 
Simba mpo wapi mmemuachia Linamo uzi peke yake..Nichukue fursa hii kuwapa moyo kwamba haya mambo yapo na hutokea hivyo msife moyo..ila watoto wa chamazi wabayaaaaaπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Hakuna tatizo Azam FC ni bingwa

Nia yetu ilikuwa kuhakikisha Madeni FC anazimwa na 4bukungu
 
Ndio tunaingia hapa sabasaba karibu kabisa na chuo cha uhasibu, kurasini. Watu wamejitokeza kwa wingi kumuona simba mla ice cream baada ya kushushwa bandarini akitokea huko kwa wakina Hamiiiiiiiiiiiii Jeiii....
 
Attachments

  • 1484375027265.png
    106.5 KB · Views: 52
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…