Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Simba mlikuwa mnafanya nn zanzbar
Bingwa AZAM
KIPA BORA MANURA AZAM
MFUNGAJI BORA MSUVA YANGA

SASA SIMBA MLIKUWA MNAFANYA nini?
 
1 Azam bingwa karudi na kombe na million 10 medal, 2 Simba karudi na million 5 na medal, 3 Yanga karudi na 4G+4G =8G [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi jamani tuwe wakweli katika hilo kwani:
Maji tuliyokunywa yao.........
Juice tuliokunywa yao......
TV wanaonyesha wao.......
Watangazaji wao..........
Mpira wameonyesha wao.......
Boti tuliyopanda yao.........
SASA mlitaka tuwafunge AZAM turudi Dar kwa Miguu!!!????
TUACHENI BHANA!!!!!!!!!
 
Reactions: PNC
Tangu mapinduzi ianze ndo nimeshuhudia soka safi jana ingawa mimi simba nilikubali kiroho safi kabisa kuwa tumefungwa na kwa mpira wa jana ilikuwa halali yanga ale 4. Na kama mpira ungekuwa unachezwa hivyo timu zote za ligi kuu hata timu yetu ya taifa ingekuwa moto maana sikuona hata mipira mingi ya kubutua ilikuwa kampa kampa tena duh hadi raha.
 
Maji tumekunywa yao......
Juice tumekunywa yao.......
TV wanaonesha wao.......
Watangazaji ni wao..
Mpira wameonesha wao.....
Boti tutapanda lao...

Mlitaka tuwafunge AZAM turudi Dar kwa MIGUU???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuacheni bhana...!
 
Hongera sana AZAM,naamini mlitumia nafasi muliyoipata vizuri.Simba,tumepambana lakini bahati haikuwa kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…