Usihofu Mkuu Leo ushindi kwa Simba kama kawaaaWasubiri atapiga penati ya mwisho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Watu wengne nuksi kwel kwel....
Ashalewa ijumaa hiii hujuiiKama huhitaji mjadala, humu sio mahali pake!
Hahaaaaa pole mkuu wenzio tulipigwa 4 na tujamaa hutuVijamaa vimetuotea kamoja ishakua tabu sasa daa!
My prediction Azam 2-1 Lion..
Vishenzi sana.Hivi vijamaa vinaweza kutukomalia hadi mwisho ikawa kero
Hapo kitumbua nakiona kabisa kinaingia mchanga[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi vijamaa vinaweza kutukomalia hadi mwisho ikawa kero
Njaa Kali sana mpaka unaanza kula mtuNitakuwa full charge kuwapa Moira mkubwa wa Simba,ingawa saa 3 kuna Dada mmoja tulipinga kuhusu mechi ya Yanga,ikawa nikishinda ijumaa ntamla.sasa mda wa kumla ni saa 3
Hivi vijamaa vinaweza kutukomalia hadi mwisho ikawa kero