Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

Wasubiri atapiga penati ya mwisho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usihofu Mkuu Leo ushindi kwa Simba kama kawaaa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] hata ikibidi penati poa tu
 
Simba wanapata nafasi za kufunga, tatizo fowadi mbovu
 
Tuliombali tunaangalia wapikwenye simu naonaa azam aionyeshi online
 
Nitakuwa full charge kuwapa Moira mkubwa wa Simba,ingawa saa 3 kuna Dada mmoja tulipinga kuhusu mechi ya Yanga,ikawa nikishinda ijumaa ntamla.sasa mda wa kumla ni saa 3
Njaa Kali sana mpaka unaanza kula mtu
 
Back
Top Bottom