Azam federation cup: Simba Sc yainyuka Azam bao 1-0 na kutinga fainali

Azam federation cup: Simba Sc yainyuka Azam bao 1-0 na kutinga fainali

Ngoja nirudi zangu jukwaa la presha[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Naona dalili za Yanga kupigwa kesho ili isijefedheheshwa tena. Ila yote kwa yote yanga ashinde kesho ili wote waiwakilishe Nchi tuone nani ni mpambanaji kimataifa.
 
Nimeingia kwenye hii thread kuangalia kama The bold atakuwepo kumsupport Nifa au atakuwa anampinga.Nimeongea tu kama utani vile!!
 
Mechi ya fainlai kama tukikutana na ndala fc......tutaingiza timu yenye wachezaji nane....,kipindi cha kwanza naa kipindi cha pili tutaingiza wachezaji watatu... namaanisha kipa ,kiungo mmoja na mshambuliaji mmoja.....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe unapenda kuona Yanga ikishinda? Tuanzie hapo.
Hahahahaaa., Sina tatizo na Yanga kushinda uwanjani, ila sio kwa kuombea mabaya hivo wakati haitakuathiri kivyovyote vile.
 
Naona dalili za Yanga kupigwa kesho ili isijefedheheshwa tena. Ila yote kwa yote yanga ashinde kesho ili wote waiwakilishe Nchi tuone nani ni mpambanaji kimataifa.
Jidanganye Wee waza kushiriki Shirikisho kupitia yanga maana safari hii nakusaidia tu VPL nabeba FA CUP nabeba
 
Naona dalili za Yanga kupigwa kesho ili isijefedheheshwa tena. Ila yote kwa yote yanga ashinde kesho ili wote waiwakilishe Nchi tuone nani ni mpambanaji kimataifa.
Pamoja na ushabiki na mapenzi yangu ya dhati kwa Mnyama na kwamba siku yoyote na kwa vyovyote vile sijawahi kuwatakia mema Ndala (Kandambili Fc), lakini kwa mapenzi yangu hayo hayo kwa mnyama, kesho nawaombea sana Yanga washinde. Hii ni kwa sababu wakishaingia yanga ni moja kwa moja simba watashiriki mechi za kimataifa. Lililo wazi ni kwamba yanga watashinda vpl na kwa hivyo simba watashiriki confederation kimataifa ikiwa simba atakuwa bingwa ama wa pili kwenye confederation hapa home. Kila la kheri yanga kwa manufaa ya Simba. Ikitokea Bahati mbaya Yanga kesho wakashindwa na mbao, Simba tutakuwa kwenye hatihati sana kwa sababu yanga wakishinda vpl halafu tukapoteza fainali dhidi ya mbao tutakuwa twafaa.
 
Back
Top Bottom