mxsdk
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 3,585
- 2,049
Leo ndio mtangazaji wa radio gani?mbona kama unaonyesha ushabiki wa waz wa upande mmoja?!Tusubiri kesho mkuu,Yanga sio Simba bwana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ndio mtangazaji wa radio gani?mbona kama unaonyesha ushabiki wa waz wa upande mmoja?!Tusubiri kesho mkuu,Yanga sio Simba bwana.
Fikisha salamu kwa vyura fc wenzako wambie mnyama kabadilisha mawazoHaya saaaaaasa Mezani FC wamepata bao.
1-0 Azam.
Hawa Azam hawafai kabisa. Hawaleti ushindani.Hawa AZAM sasa hivi uwanjani ni kama mapazia tu, hawaonyeshi kabisa kushindana...
Mara ooh tumebaki simba watatu humu, mara natamani azam washindeNatamani tu Azam wasawazishe,japo hata wakifungwa sina cha kupoteza ila sipendi tu kuwaona mikia wakishinda [emoji17]
Na imetokea tu hiyo hali si ndio bahati nzuri sasa Simba ndio anashinda lol,usiache kututangazia Wengine tupo njiani kwenda Kilimanjaro kwenye Sherehe za Mei moss.Natamani tu Azam wasawazishe,japo hata wakifungwa sina cha kupoteza ila sipendi tu kuwaona mikia wakishinda [emoji17]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] I wish iwe hivyo mkuuazam watapata goal hata la nape
Hawa Azam hawafai kabisa. Hawaleti ushindani.
Utakuwa Mchawi wwNatamani tu Azam wasawazishe,japo hata wakifungwa sina cha kupoteza ila sipendi tu kuwaona mikia wakishinda [emoji17]
Mkuu tafadhali naomba tuheshimiane. Huu ni mchezo na hapa tupo kufurahi na sio kutukanana/kudhalilishana.Mara ooh tumebaki simba watatu humu, mara natamani azam washinde
Mama unawashwa sana wewe....
za faq
Mmh we mshabiki wa ndondo nini maana hueleweki unashabikia tim gani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] I wish iwe hivyo mkuu
Bado tuko pamoja mkuu,usijali.Na imetokea tu hiyo hali si ndio bahati nzuri sasa Simba ndio anashinda lol,usiache kututangazia Wengine tupo njiani kwenda Kilimanjaro kwenye Sherehe za Mei moss.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tukutane fainali mkuu.Kwani Yanga walileta ushindani kwa Simba? Tulia mliwe.
Wewe ni mgeni jukwaa hili,wakongwe wananijua.Mmh we mshabiki wa ndondo nini maana hueleweki unashabikia tim gani