Azam federation cup: Simba Sc yainyuka Azam bao 1-0 na kutinga fainali

Azam federation cup: Simba Sc yainyuka Azam bao 1-0 na kutinga fainali

Ngoja niamie kwa Madrid v Valencia muda huu huku mtaendelea kunipa matokeo.....
 
Kadi ni ya halali, jamaa alivyoingia hakuonyesha nia ya kuutaka mpira ila kumhamisha mtu.

Na dka 15 za mwanzo kabla ya kadi Azam walikuwa wamezidiwa na dk ya nne tu wakapewa ya njano...

Mpaka sasa Simba wamemiliki game kwa kiasi kikubwa...
Shukrani kwa taarifa,Simba safi
 
Natamani tu Azam wasawazishe,japo hata wakifungwa sina cha kupoteza ila sipendi tu kuwaona mikia wakishinda [emoji17]
 
Back
Top Bottom