Azam federation cup: Simba Sc yainyuka Azam bao 1-0 na kutinga fainali

Natamani tu Azam wasawazishe,japo hata wakifungwa sina cha kupoteza ila sipendi tu kuwaona mikia wakishinda [emoji17]
Mara ooh tumebaki simba watatu humu, mara natamani azam washinde

Mama unawashwa sana wewe....

za faq
 
Natamani tu Azam wasawazishe,japo hata wakifungwa sina cha kupoteza ila sipendi tu kuwaona mikia wakishinda [emoji17]
Na imetokea tu hiyo hali si ndio bahati nzuri sasa Simba ndio anashinda lol,usiache kututangazia Wengine tupo njiani kwenda Kilimanjaro kwenye Sherehe za Mei moss.
 
Dk ya 72 mambo ni yaleyale, japo simba ndio wanakosa kosa magoli......
 
Mara ooh tumebaki simba watatu humu, mara natamani azam washinde

Mama unawashwa sana wewe....

za faq
Mkuu tafadhali naomba tuheshimiane. Huu ni mchezo na hapa tupo kufurahi na sio kutukanana/kudhalilishana.

Kama kiwango chako cha ustaarab ni kidogo naomba kaa mbali na posts zangu.

Mashabiki wenzio wa Simba tunajuana na tumekuwa tukitaniana huku huu mwaka wa 3 sasa hatujawahi kutukanana wala kuvunjiana heshima.
Behave pls
 
Na imetokea tu hiyo hali si ndio bahati nzuri sasa Simba ndio anashinda lol,usiache kututangazia Wengine tupo njiani kwenda Kilimanjaro kwenye Sherehe za Mei moss.
Bado tuko pamoja mkuu,usijali.
 
Frikiki wanapata Azamu nje kidogo ya kumi nane....ngoja tuone
 
Dk ya 75 bado mambo ni yaleyale.....Boko anapiga faulo inakuwa ugali kwa kipa
 
Mohammed Ibrahim wa Simba anapewa kadi nyekundu hapa.

Huyu refa anataka kubalance mchezo,ameshajua makosa aliyofanya kwa Azam sasa anajisafisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…