Azam federation cup: Simba Sc yainyuka Azam bao 1-0 na kutinga fainali

Azam kapigwaaaa[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Wakuu wote mliotoa info za kutosha mwanzo mpaka mwisho wa game nawapa heshima sana, Kesho nawaomba msisite kutuhabarisha hah hah japo itakuwa ngumu kumeza na hamtaamini kitakachotokea 🙄🙄
Tukutane hapahapa panapo majaaliwa. Yanga hatuwahi kuingia uwanjani na mashaka.[emoji4]
 
Unadhani sisi ni nyie ambao hamna hata laki 3 ya kulipia malalamiko yenu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hao jamaa hata kanuni hawazijua kazi kupiga blahabla.
 
Kipa wa simba anasimama sasa dakika ya 97" muda wowote mpira unaisha.
 
Naam,mpira umekwisha. Simba wamefuzu kwa fainali kwa mara ya kwanza tangu fainali hizi kuanzishwa.
Hongereni

Panapo majaaliwa kesho tukutane jukwaa hilihili kushuhudia kandanda safi kutoka kwa wanaume wa shoka Dar Young Africans dhidi ya Mbao FC.
Until then,adios
Cheers [emoji485]
 
Kesho tukutane hapa hapa, wakimataifa wakichanachana mbao pale CCM Kirumba bila huruma.
 
Subirini mnyolewe na Mitiki kesho hahahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…