[emoji115] [emoji115] [emoji115]*What is Lipuli?*
*Lipuli is the Branch of Simba which deals with Yanga*
Pole mtaniMtani Sapta Sapta sogea uone leo tunavyoizima ile kauli ya "KAMWENE"
Yaani Bakuli Au [emoji194][emoji194][emoji194][emoji194][emoji194][emoji194]*Kombe pekee* *watakalochukua yanga* *msimu huu ni* *lile* *linalofunikwa ili* *mwanaharamu apite*
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nawatania mashabiki wa TP MAZEMBEHaina marudiano hiyo vyura wamekalishwa
safari ya chizi huwa ni ndefu lkn akirudi hurudi na makopo [emoji23][emoji23][emoji23]
ExcellentMnasemaje kwa muamzi wa leo amewabeba lipuli au amechezesha vzr
Zahera atawaambia wachague kati ya AS VITA na TP MAZEMBE washangilie ipi?Mwakani watachoma mahindi
Shauri ya ubabaishaji wao
KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Bakuli Au [emoji194][emoji194][emoji194][emoji194][emoji194][emoji194]
.Wana Yanga hebu simameni dakika moja kuomboleza msiba wa kutolewa FA...!