Azam Federation Cup: Yanga yatupwa nje ya mashindano baada ya kutandikwa magoli 2-0 na Lipuli

Azam Federation Cup: Yanga yatupwa nje ya mashindano baada ya kutandikwa magoli 2-0 na Lipuli

Lipuli wamenunua mechi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji38]
GBWA-20190506183226.jpg
 
Mtani Sapta Sapta sogea uone leo tunavyoizima ile kauli ya "KAMWENE"
Hodi hodi humu jamani, haya wenyeji wangu kuna usalama kweli hapa 😆 maana naona nyuso za huzuni kwani kuna nini kimetokea? 😃Maana wakati naja hapa ile nyumba pale kona kwa mzee Kifunde nimesikia akina Mama pamoja na akina Baba wakitaja taja KAMWENE KAMWENE sasa nimeshindwa kuelewa wana maana gani wale, haya vipi wenyeji wangu kunani hapa? 😜😜😜😜😜😜😜
 
Amkeni [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu utaitwa uhojiwe pale jangwani la sivyo ufute hilo neno DHAIFU
Hili neno kwetu sisi wanamichezo ni neno la kawaida linaloelezea udhaifu katika mbinu za mwalimu. Haiwezekana timu ipigishwe puli mara mbili habadili mbinu
 
Back
Top Bottom