Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,623
- 2,892
kwan hii game.ina marudio??Usijali mtani, hapo Samora ni Uarabuni.. ngoja mkirudiana taifa, pale hatoki mtu.
haaa haa haaa!!... Nakunya kwa dharau.
Kamweneeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwan hii game.ina marudio??Usijali mtani, hapo Samora ni Uarabuni.. ngoja mkirudiana taifa, pale hatoki mtu.
haaa haa haaa!!... Nakunya kwa dharau.
Kamweneeee
Kwa Jangwani kila jambo linawezekana!!kwan hii game.ina marudio??
mnoge kashinda leoYanga0 - Kamwene2
Sema mpira wa Yangampira wa bongo ukiangalia utadhani ni timu za shule ya sekondari ndio zinacheza
Kauli imezimwaMtani Sapta Sapta sogea uone leo tunavyoizima ile kauli ya "KAMWENE"
Wangekimbia,hawanaga aibuAsante sana Lipuli.
Japo nilitaka Yanga wachukue hii ndoo then wakutane na Simba ufunguzi wa League
Yanga jeuri sana
Sisi tunapigana kimataifa
Wao wanawashangilia wakongo
Na kuwapa sapoti
Wafungwe tu
Uchaguzi wa jana urudiwe; wameanza vibaya sana#ASFC:Mpira umemalizika kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa. ...@YangaSCTanzania wanatupwa nje ya mashindano, na Lipuli FC wanatinga fainali..
Kwa matokeo haya, Lipuli sasa watakutana na Azam FC kwenye Dimba la Ilulu mkoani Lindi.
FT: Lipuli FC 2-0 Yanga SC.View attachment 1089751