Azam Federation Cup: Yanga yatupwa nje ya mashindano baada ya kutandikwa magoli 2-0 na Lipuli

Ile waliyopigwa moja walijifanya kuingilia Tosamaganga na wachezaji waliingia uwanjani kwa bajaji, ya leo walikaa kwenye Hoteli ya Kisasa hapa mjini. Hilo ndilo kosa, hawajazoea!!
 
Yanga walichagua watu wa Iringa kuwa viongozi wao kwa ajili ya Mechi ya leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…