Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhhh
Kwani yale Magoli yana utata? Bahati yao msimu wa Ulanzi ndiyo unamalizikia!Tuambiane Nani kapewa muamala kati ya Vyura, Lipuli ama Referee...Vilaza kweli nyie!!!!
HahaahhahaMpige na "Ndauli"?
Ila ule mkangafu si unapatikana?Kwani yale Magoli yana utata? Bahati yao msimu wa Ulanzi ndiyo unamalizikia!
Wamelishwa mkalifyaYanga lazima wale Msapulo kwa Ng'alangwe!!
Mkangafu na Msabe kwa wingi tu. Ulanzi wa Mgama unamalizikia watu wanaanza kutegemea wa Njombe!!Ila ule mkangafu si unapatikana?
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]dakika ya 70 hii lipuli wanaongoza 2 ndala fc wana 0....... KWA NINI SIMBA MNANUNUA KILA MATCH???