Azam Federation Cup: Yanga yatupwa nje ya mashindano baada ya kutandikwa magoli 2-0 na Lipuli

Azam Federation Cup: Yanga yatupwa nje ya mashindano baada ya kutandikwa magoli 2-0 na Lipuli

Mwenyekiti mpya ameleta mkosi kwa Yanga bora angeenda ofisini tu .
2019-05-06 17.12.31.png
 
Ndugu zangu wana Simba Sc. tuungane kwa pamoja kuiombea Yanga angalau ipate hata goli moja tu.
Naomba kuwasilisha
 
Yanga msimu huu wanapoteza kila kitu kama itakavyokuwa kwa Liverpool
 
Makambo haonekani leo daaah! Poleni vyura
 
Dakika zikiongezwa Yanga watoke nje maana huwa wanalalamikia dakika zinazoongezwa kwenye mechi za Simba!
 
Back
Top Bottom