Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipuli 1
HahahahahahahahahhahahahahahahahahSAWA
Unogage Segito!!Mtani Sapta Sapta sogea uone leo tunavyoizima ile kauli ya "KAMWENE"
Siyo Refa kachukua,MuhamalaYanga wameuza mechi
Na hii ndio sababu siangalii mpira wa bongompira wa bongo ukiangalia utadhani ni timu za shule ya sekondari ndio zinacheza
HahahahahahahahahhahahahahahahahahSawa Swahiba. Mujiandae sababu leo Lipuli hatumwachi salama.
Wao wamemchukua Padri na kumfanya awe Kocha wa timu yao, walitegemea nini? Jamaa pia ni mtaalamu wa Muziki basi waanzishe Kwaya!!Masikini wa Mungu,nini hiki