Kelevra
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 1,053
- 2,010
TFF na Wizara zinadeal na timu ya taiga.Club ni private owned...unalijua hilo?Kama nakumbuka vizuri, Leceister alipanda na moja kwa moja akaenda mpaka UEFA, nadhani kila jambo lina mwanzo, kama kimchezo mmeshindwa kumshinda, angewezeshwa tu kuiwakilisha nchi vyema, TFF na wizara husika si zipo?