Azam federation: Namungo yaingia fainali kwa figisu dhidi ya sahare

Kama nakumbuka vizuri, Leceister alipanda na moja kwa moja akaenda mpaka UEFA, nadhani kila jambo lina mwanzo, kama kimchezo mmeshindwa kumshinda, angewezeshwa tu kuiwakilisha nchi vyema, TFF na wizara husika si zipo?
TFF na Wizara zinadeal na timu ya taiga.Club ni private owned...unalijua hilo?
 
TFF na Wizara zinadeal na timu ya taiga.Club ni private owned...unalijua hill?
Kama unazungumzia kanuni za FIFA kuzuia serikali za nchi kuingilia haya mashirikisho, ni sawa. Ila kama tunazungumzia kuiwezesha timu kwa maslahi mapana na utukufu wa nchi, hiyo private owned kama ulivyoandika inakuwa haiswii hapa.

Kama nakumbuka, huwa tunaungana wote yanapofikiwa mafanikio hata kama ni Big Brother ambayo ni moja kwa moja mtu binafsi
 
TFF na Wizara zinatakiwa kuweka Sera wezeshi kwa vilabu binafsi kufanikiwa ili taiga kupata sifa pia lakini si msaada wakipesa pesa ni kwa National timu tu...
 
Ni sahihi, pia nimeshuhudiwa zile Fokker 30 na 50 za raisi zikizibeba simba na yanga miaka ile kuzipeleka kwenye mashindano ya kimataifa. Kiofisi zilionekana zimekodiwa, na kiofisi pia, ndege za raisi zilikuwa hazifanyi biashara. Naona kama ulikuwa ni msaada wa kifedha huu, au unaonaje?
 
Inawezekana...lakini kosa moja halihalishi kosa jingine...
 
Back
Top Bottom