Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
ulianza kutumika siku wanasaini mkataba wote kwa pamoja CRDB NA TFFUna uhakika kataba huo wa CRDB unaanza katikati ya msimu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulianza kutumika siku wanasaini mkataba wote kwa pamoja CRDB NA TFFUna uhakika kataba huo wa CRDB unaanza katikati ya msimu?
Sasa kumbe unajua mkataba umeishaKwenye pita pita zangu nimeona kuwa, September 2019, Azam Media na TFF walisaini mkataba wa miaka minne wenye thamani ya bilioni 4.5 kwa ajili ya shindano la kombe la shirikisho maana hiyo mkataba huo uliisha September 2023, kwa maana hiyo TFF wako sahihi kusaini mkataba mpya na CRDB
Nionyeshe ni wapi Azam walipojionyesha kuwa ni wadhamini wa ligi.Sio tu ivo hata wakipublish na kutangaza matangazo wanajipakulia sana minyama kama wao ndo wadhamini wakuu wa NBC League na sio NBC
Azam Tv tuu pesa wanayoingiza inalipa wachezaji na benchi lake pamoja na wafanyakazi wote wa Azam Tv hapo hujagusa bidhaa zingine za BakhresaMzigo umekata wanalipa mshahara wa Feisal
Hapana mkuu, Azam alikuwa na haki ya kurusha matangazo pamoja na udhamini mkuuAcha kupotosha, Azam mkataba wao ulikuwa wa haki za matangazo tu hilo la Tittle ilitokea kwakuwa hakukuwa na mdhamini wa Jina la ligi ila mkataba wao (Azam) bado unaendelea isipokuwa kipengele cha Tittle ndo wamechomolewa baada ya mdhamini rasmi kupatikana
Hakuna cha kuwaka wala kuzima.Soon kitawaka hapa wanasheria waandae mafailiView attachment 2953490
BROADCASTING RIGHT vs TITLE SPONSORtwende mbele turudi nyuma azam wamechangia asilimia 70 football kukua tanzania tff wasicheze kindezi hao crdb wakati wanakula faida zao kimya kimya azam walikua bize kufanya uwekezaji leo football inavutia wanawekwa pembeni TFF wekeni mambo sawa wekeni usawa mikataba iwe fair tusiwachukize azam wametutoa mbali.
kwahiyo azam kuwa na broacasting right ndio iliwapa sifa ya mashindano kuitwa azam sports federation? sawa mkuu, kwani crdb kwa sasa wana haki ya kutangaza mashindano? au kutangazwa kwenye mashindano? au kupewa jina la mashindano? issue hapa ni jina la mashindano ndicho kinaonekana kina utata labda wenyewe azam watatolea ufafanuziBROADCASTING RIGHT vs TITLE SPONSOR
Uwekezaji ni ushindani, sio kuhurumianawekeni mambo sawa wekeni usawa mikataba iwe fair tusiwachukize azam wametutoa mbali.
kuna kitu kinaitwa fair competition na mambo ya antitrust kwenye biashara? kuna watu pia kama wewe wanasema hata haki za matangazo apewe dstv huyo dstv alikuepo kabla ya azam hakutaka kuendeleza mpira wa bongo alikua anakula faida zake za epl huko, mate yanamtoka saizi!Uwekezaji ni ushindani, sio kuhurumiana
Tunawashukuru kwa kututoa mbali ila je wao hawajafaidika? Au unafikiri wanatoa hisani. Wawajibike. Hao Azam Azam hatawakijitoa Leo biashara yao ya Ving'amuzi itashuka. Kwa hiyo tusiwalee kama mayai hiyo ni biashara.twende mbele turudi nyuma azam wamechangia asilimia 70 football kukua tanzania tff wasicheze kindezi hao crdb wakati wanakula faida zao kimya kimya azam walikua bize kufanya uwekezaji leo football inavutia wanawekwa pembeni TFF wekeni mambo sawa wekeni usawa mikataba iwe fair tusiwachukize azam wametutoa mbali.
Halafu ni kama unataka kusema alichokifanya Azam ni hisani kwa soka la bongo hapana! Azam ni mfanyabiashara alilenga faidakuna watu pia kama wewe wanasema hata haki za matangazo apewe dstv huyo dstv alikuepo kabla ya azam hakutaka kuendeleza
Tumekubalia kwenye kikao chetu cha mwisho kua siasa ni upuuzi.Kwenye mipira,wabongo wataandama watatumia nguvu mpaka zao za ziada ila mambo mengine sasa jiiiiii
Ova
Sawa sawaTumekubalia kwenye kikao chetu cha mwisho kua siasa ni upuuzi.
Sisi raia wa hali ya chini tumechoka kua mitaji ya wanasiasa.
Kwa sasa nguvu zetu zote tumeziamishia kwenye michezo, hasa soccer maana kuna fursa za kutosha, mfano kubeti.
-azam alitufanyia hisani 100% walikua wa kwanza kutake risk kwenye soka letu kulikua hakuna uwezekano hata wa pesa yao kurudi, kipindi hicho dstv wamefyata crdb wanakula faida zaoHalafu ni kama unataka kusema alichokifanya Azam ni hisani kwa soka la bongo hapana! Azam ni mfanyabiashara alilenga faida
Unajua Azam anaingiza kiasi gani kwenye biashara ya ving'amuzi achilia mbali monthly payments za vifurushi kwa wateja wao.
Soka la bongo kukua ni juhudi za timu na wachezaji japo kidogo media zinachangia, anapopatikana muwekezaji mpya akiweka mpunga mrefu ni sahihi kabisa
maana yangu kubwa ni hii tff wanapoingia mikataba wasiangalie rushwa zao na furaha za mda mfupi za pesa waangalie sustainability ya hao wanaokuja leo wapo kesho hawapo azam yupo toka ameanzaTunawashukuru kwa kututoa mbali ila je wao hawajafaidika? Au unafikiri wanatoa hisani. Wawajibike. Hao Azam Azam hatawakijitoa Leo biashara yao ya Ving'amuzi itashuka. Kwa hiyo tusiwalee kama mayai hiyo ni biashara.
Nimezaliwa 2011. Hakuna kuwalea kama wao wameshindwa kusponsor, Kwa nini waendelee, kwa hiyo kama wametutoa mbali ndiyo iweje. Yaani waachiwe haki ya jina wakati wao wana haki ya matangazo tu. Hamna kitu.maana yangu kubwa ni hii tff wanapoingia mikataba wasiangalie rushwa zao na furaha za mda mfupi za pesa waangalie sustainability ya hao wanaokuja leo wapo kesho hawapo azam yupo toka ameanza
sio swala la kutoa hisani au msaada unakumbuka hali tuliokua nayo kabla ya azam kuanza uwekezaji kwenye hayo mashindano ya FA au umezaliwa 2010, kwanini hata sasa dstv au startimes hawana leseni ya matangazo ya FA au PREMIER LEAGUE, eti tusiwalee kama mayai biashara ni uwezo wa kuendelea kuwepo na kesho sio faida ya mda mfupi halafu unatokomea, hao crdb wakipata hasara kwenye uwekezaji wao watakimbia azam yupo hajakimbia toka ameanza.