Azam hawajapenda CRDB kudhamini FA

Azam hawajapenda CRDB kudhamini FA

twende mbele turudi nyuma azam wamechangia asilimia 70 football kukua tanzania tff wasicheze kindezi hao crdb wakati wanakula faida zao kimya kimya azam walikua bize kufanya uwekezaji leo football inavutia wanawekwa pembeni TFF wekeni mambo sawa wekeni usawa mikataba iwe fair tusiwachukize azam wametutoa mbali.
 
Kwenye pita pita zangu nimeona kuwa, September 2019, Azam Media na TFF walisaini mkataba wa miaka minne wenye thamani ya bilioni 4.5 kwa ajili ya shindano la kombe la shirikisho maana hiyo mkataba huo uliisha September 2023, kwa maana hiyo TFF wako sahihi kusaini mkataba mpya na CRDB
Sasa kumbe unajua mkataba umeisha
na labla hao azam hawakutaka kuongeza mkataba iweje useme hawakupenda.?
Unakumbuka Singida Big Stars walipobadilisha jina na kuitwa Singina Fountain Gate bado Azam Tv walikuwa wanatumia jina la Singida Big Stars unajua ni kwann.? Kama hujui bc hata hy ishu ya CRDB pia tulia hvy hvy.

Sio tu ivo hata wakipublish na kutangaza matangazo wanajipakulia sana minyama kama wao ndo wadhamini wakuu wa NBC League na sio NBC
Nionyeshe ni wapi Azam walipojionyesha kuwa ni wadhamini wa ligi.
Mdhamini wa ligi anakaa pale kwenye nembo ya ligi sasa em onyesha ni lini uliona logo ya Azam pale kwenye nembo ya ligi.
Mzigo umekata wanalipa mshahara wa Feisal
Azam Tv tuu pesa wanayoingiza inalipa wachezaji na benchi lake pamoja na wafanyakazi wote wa Azam Tv hapo hujagusa bidhaa zingine za Bakhresa
Acha kupotosha, Azam mkataba wao ulikuwa wa haki za matangazo tu hilo la Tittle ilitokea kwakuwa hakukuwa na mdhamini wa Jina la ligi ila mkataba wao (Azam) bado unaendelea isipokuwa kipengele cha Tittle ndo wamechomolewa baada ya mdhamini rasmi kupatikana
Hapana mkuu, Azam alikuwa na haki ya kurusha matangazo pamoja na udhamini mkuu

Soon kitawaka hapa wanasheria waandae mafailiView attachment 2953490
Hakuna cha kuwaka wala kuzima.
 
twende mbele turudi nyuma azam wamechangia asilimia 70 football kukua tanzania tff wasicheze kindezi hao crdb wakati wanakula faida zao kimya kimya azam walikua bize kufanya uwekezaji leo football inavutia wanawekwa pembeni TFF wekeni mambo sawa wekeni usawa mikataba iwe fair tusiwachukize azam wametutoa mbali.
BROADCASTING RIGHT vs TITLE SPONSOR
 
Napenda kombe la shirikisho haki ya kuonyesha apewe DStv.
 
BROADCASTING RIGHT vs TITLE SPONSOR
kwahiyo azam kuwa na broacasting right ndio iliwapa sifa ya mashindano kuitwa azam sports federation? sawa mkuu, kwani crdb kwa sasa wana haki ya kutangaza mashindano? au kutangazwa kwenye mashindano? au kupewa jina la mashindano? issue hapa ni jina la mashindano ndicho kinaonekana kina utata labda wenyewe azam watatolea ufafanuzi
 
Uwekezaji ni ushindani, sio kuhurumiana
kuna kitu kinaitwa fair competition na mambo ya antitrust kwenye biashara? kuna watu pia kama wewe wanasema hata haki za matangazo apewe dstv huyo dstv alikuepo kabla ya azam hakutaka kuendeleza mpira wa bongo alikua anakula faida zake za epl huko, mate yanamtoka saizi!
 
twende mbele turudi nyuma azam wamechangia asilimia 70 football kukua tanzania tff wasicheze kindezi hao crdb wakati wanakula faida zao kimya kimya azam walikua bize kufanya uwekezaji leo football inavutia wanawekwa pembeni TFF wekeni mambo sawa wekeni usawa mikataba iwe fair tusiwachukize azam wametutoa mbali.
Tunawashukuru kwa kututoa mbali ila je wao hawajafaidika? Au unafikiri wanatoa hisani. Wawajibike. Hao Azam Azam hatawakijitoa Leo biashara yao ya Ving'amuzi itashuka. Kwa hiyo tusiwalee kama mayai hiyo ni biashara.
 
kuna watu pia kama wewe wanasema hata haki za matangazo apewe dstv huyo dstv alikuepo kabla ya azam hakutaka kuendeleza
Halafu ni kama unataka kusema alichokifanya Azam ni hisani kwa soka la bongo hapana! Azam ni mfanyabiashara alilenga faida

Unajua Azam anaingiza kiasi gani kwenye biashara ya ving'amuzi achilia mbali monthly payments za vifurushi kwa wateja wao.

Soka la bongo kukua ni juhudi za timu na wachezaji japo kidogo media zinachangia, anapopatikana muwekezaji mpya akiweka mpunga mrefu ni sahihi kabisa
 
Kwenye mipira,wabongo wataandama watatumia nguvu mpaka zao za ziada ila mambo mengine sasa jiiiiii

Ova
Tumekubalia kwenye kikao chetu cha mwisho kua siasa ni upuuzi.
Sisi raia wa hali ya chini tumechoka kua mitaji ya wanasiasa.
Kwa sasa nguvu zetu zote tumeziamishia kwenye michezo, hasa soccer maana kuna fursa za kutosha, mfano kubeti.
 
Sawa sawa

Ova
 
a
Halafu ni kama unataka kusema alichokifanya Azam ni hisani kwa soka la bongo hapana! Azam ni mfanyabiashara alilenga faida

Unajua Azam anaingiza kiasi gani kwenye biashara ya ving'amuzi achilia mbali monthly payments za vifurushi kwa wateja wao.

Soka la bongo kukua ni juhudi za timu na wachezaji japo kidogo media zinachangia, anapopatikana muwekezaji mpya akiweka mpunga mrefu ni sahihi kabisa
-azam alitufanyia hisani 100% walikua wa kwanza kutake risk kwenye soka letu kulikua hakuna uwezekano hata wa pesa yao kurudi, kipindi hicho dstv wamefyata crdb wanakula faida zao
-azam walifanya strategic investment ndio maana hao crdb leo wanashoboka walikua wapi miaka yote,
-unajua biashara wewe kuna watu mnaangalia faida tu kwenye biashara, azam alizivumilia hasara kabla ya kuona faida
-baada ya kuingia azam ndio amechochea kuboreshwa kwa viwanja na pitch ili kuboresha matangazo
-eti soka la bongo kukua ni juhudi za timu, kwani mwaka 2000 timu zilikua hazifanyi juhudi, elewa kwamba baada ya kuingia azam amevutia wawekezaji kwa kiwango kikubwa kupitia matangazo makampuni ya kamari na kadharika.

maana yangu kubwa ni hii tff wanapoingia mikataba wasiangalie rushwa zao na furaha za mda mfupi za pesa waangalie sustainability ya hao wanaokuja leo wapo kesho hawapo azam yupo toka ameanza
 
Tunawashukuru kwa kututoa mbali ila je wao hawajafaidika? Au unafikiri wanatoa hisani. Wawajibike. Hao Azam Azam hatawakijitoa Leo biashara yao ya Ving'amuzi itashuka. Kwa hiyo tusiwalee kama mayai hiyo ni biashara.
maana yangu kubwa ni hii tff wanapoingia mikataba wasiangalie rushwa zao na furaha za mda mfupi za pesa waangalie sustainability ya hao wanaokuja leo wapo kesho hawapo azam yupo toka ameanza

sio swala la kutoa hisani au msaada unakumbuka hali tuliokua nayo kabla ya azam kuanza uwekezaji kwenye hayo mashindano ya FA au umezaliwa 2010, kwanini hata sasa dstv au startimes hawana leseni ya matangazo ya FA au PREMIER LEAGUE, eti tusiwalee kama mayai biashara ni uwezo wa kuendelea kuwepo na kesho sio faida ya mda mfupi halafu unatokomea, hao crdb wakipata hasara kwenye uwekezaji wao watakimbia azam yupo hajakimbia toka ameanza.
 
Nimezaliwa 2011. Hakuna kuwalea kama wao wameshindwa kusponsor, Kwa nini waendelee, kwa hiyo kama wametutoa mbali ndiyo iweje. Yaani waachiwe haki ya jina wakati wao wana haki ya matangazo tu. Hamna kitu.
 
Back
Top Bottom