Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Wanachangamsha tu ligi hawana jipya.
Alikua kwa mkopo kama OkwaNimeangalia mechi za Raja za robo na nusu fainali ya CAF CL dhidi ya Simba zote mbili na dhidi ya Ahly zote mbili, hakuwemo hata katika wachezaji wa akiba
Mtqmtami hamtompataNgoja tutamuona akiwa kiwanjani
Uo ushamba wa simba na yanga Azam they are smarterWamemcheki afya maana yasije kuwa ya akina Bigirimana na Sawadogo.Kuhusu kiwango chake ngojea tumpe kama mechi tano ,then tutacomment.
Kipindi wanamaliza ulikuwq hujqzaliwq?Mbwembwe Azam HAWEZI kumaliza ligi juu ya Simba au Yanga tuko hapa
Fuatilia kwani Luis miqusone umemuona mechi gani ya AL AHALYNimeangalia mechi za Raja za robo na nusu fainali ya CAF CL dhidi ya Simba zote mbili na dhidi ya Ahly zote mbili, hakuwemo hata katika wachezaji wa akiba
Kama miquisone tuAlikua kwa mkopo kama Okwa
Haya kumbuka huyo Raja walimtoa kwa mkopo, wasije wakaimba beti moja kama Simba na Yanga au ww ushamwona akifanyiwa checkup ya afya yake.Uo ushamba wa simba na yanga Azam they are smarter
Nilikuepo kuanzia game ya Kwanza Hadi ya mwisho labda wewe ndo ulikua bado shule ya msingiKipindi wanamaliza ulikuwq hujqzaliwq?
Sasa mbona unaongea Kama huliwi matakoNilikuepo kuanzia game ya Kwanza Hadi ya mwisho labda wewe ndo ulikua bado shule ya msingi
Huyu jamaa ni kimeo. Sijui Azam watazinduka lini na kuacha kasajili vimeo kama wafanyavyo makolo fc?BREAKING NEWS 🚨
Tunayofuraha kuwataarifu kuwa tumefikia makubaliano na klabu ya @RCAofficiel, ya kumnunua kiungo wao mshambuliaji, Gibril Sillah.
Nyota huyo wa Gambia, anatarajia kutua nchini muda wowote kuanzia sasa kumalizia taratibu za mwisho za usajili. 👇
View attachment 2671916