Azam hawapoi Wang’oa Kiungo Raja Casablanca

Azam hawapoi Wang’oa Kiungo Raja Casablanca

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
BREAKING NEWS 🚨

Tunayofuraha kuwataarifu kuwa tumefikia makubaliano na klabu ya @RCAofficiel, ya kumnunua kiungo wao mshambuliaji, Gibril Sillah.

Nyota huyo wa Gambia, anatarajia kutua nchini muda wowote kuanzia sasa kumalizia taratibu za mwisho za usajili. 👇
61D39FA3-21A5-42A7-82C9-7B415C8222EE.jpeg
 
Nimeangalia mechi za Raja za robo na nusu fainali ya CAF CL dhidi ya Simba zote mbili na dhidi ya Ahly zote mbili, hakuwemo hata katika wachezaji wa akiba
 
Wamemcheki afya maana yasije kuwa ya akina Bigirimana na Sawadogo.Kuhusu kiwango chake ngojea tumpe kama mechi tano ,then tutacomment.
Uo ushamba wa simba na yanga Azam they are smarter
 
Nimeangalia mechi za Raja za robo na nusu fainali ya CAF CL dhidi ya Simba zote mbili na dhidi ya Ahly zote mbili, hakuwemo hata katika wachezaji wa akiba
Fuatilia kwani Luis miqusone umemuona mechi gani ya AL AHALY
 
Uo ushamba wa simba na yanga Azam they are smarter
Haya kumbuka huyo Raja walimtoa kwa mkopo, wasije wakaimba beti moja kama Simba na Yanga au ww ushamwona akifanyiwa checkup ya afya yake.
 
BREAKING NEWS 🚨

Tunayofuraha kuwataarifu kuwa tumefikia makubaliano na klabu ya @RCAofficiel, ya kumnunua kiungo wao mshambuliaji, Gibril Sillah.

Nyota huyo wa Gambia, anatarajia kutua nchini muda wowote kuanzia sasa kumalizia taratibu za mwisho za usajili. 👇
View attachment 2671916
Huyu jamaa ni kimeo. Sijui Azam watazinduka lini na kuacha kasajili vimeo kama wafanyavyo makolo fc?
 
Back
Top Bottom