Azam Huwa anaamua kumwachia Simba ili kumwandalia ubingwa

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Urafiki wa Azam na Simba unatuharibia ligi

Azam wameuza mechi na walipewa maagizo maalum kujilegeza kama wagonjwa

Huyo Sillah akicheza dhidi ya Yanga atajituma kama hatacheza tena ila mechi ya Simba aaaa yupo yupo anakimbiza hadi mwisho wa touch line

Azam itabaki team ndogo
Mwaka Jana tuliwabeba na kuwapeleka CAFCL
Mwaka huu hatuwabebi Bora tuwabebe Makolo watakaoshika nafasi ya pili
 
Ulichelewa sana kujua hilo Chifu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Hata ile ya simba kushika nafasi ya 3 ni makubaliano yao na Azam, ili simba ajipange na shirikisho maana kule CL ni kugumu. Ila kiushindani Azam na Simba ni zaidi ya upangaji matokeo. Jambo hili lingekuwa ni Yanga wachaw ng'ombe wote saa hzi wanapayuka
 
Bodi ya ligi wachunguze hizi tuhuma
 
Kama azam ni timu nzuri kwa nini katolewa kwenye michuano ya CAF?
 
Scars Tui Kalpana OKW BOBAN SUNZU jmushi1 KikulachoChako
 
Wudesi
 
Wana YANGA mmekasirika sana, maana matarajio yenu yalikuwa kwa AZAM kuiwekea kisiki SSC ili muweze kukwea kileleni.
Lakini mambo imekuwa tofauti na Matarajio yenu.kwa maana kwamba imekula kwenu.Mwaka huu ni wa kiwango bila uchawi.
Viva...SSC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…