Azam Huwa anaamua kumwachia Simba ili kumwandalia ubingwa

Huyo Sillah akicheza dhidi ya Yanga atajituma kama hatacheza tena ila mechi ya Simba aaaa yupo yupo anakimbiza hadi mwisho wa touch line
Ligi ina timu nyingi sana kwanini iwe kwa yanga tu?
Kwako wewe ligi nzima timu ni yanga tu.
Kwahiyo Azam angeifunga Simba mwisho wa ligi angetwaa ubingwa?
Azam itabaki team ndogo
Mwaka Jana tuliwabeba na kuwapeleka CAFCL
Mwaka huu hatuwabebi Bora tuwabebe Makolo watakaoshika nafasi ya pili
Kama kweli mliwabeba basi tambua mmezoea kubebabana hivyo ndiyo mnaochafua taswili ya ligi hii.
Mnashindwa kucheza mpira kwa uwezo wenu mpaka mbebane?
Unasajili wachezaji wazuri lakini bado unategemea kubebwa ili upate mafanikio.
Mnaharibu ligi yetu kwa ujinga wenu wa kubebwa bebwa.
 
Ligi ina timu nyingi sana kwanini iwe kwa yanga tu?
Kwako wewe ligi nzima timu ni yanga tu.
Kwahiyo Azam angeifunga Simba mwisho wa ligi angetwaa ubingwa?

Kama kweli mliwabeba basi tambua mmezoea kubebabana hivyo ndiyo mnaochafua taswili ya ligi hii.
Mnashindwa kucheza mpira kwa uwezo wenu mpaka mbebane?
Unasajili wachezaji wazuri lakini bado unategemea kubebwa ili upate mafanikio.
Mnaharibu ligi yetu kwa ujinga wenu wa kubebwa bebwa.
Mbumbumbu katika Moja na mbili
 
Back
Top Bottom