Azam Huwa anaamua kumwachia Simba ili kumwandalia ubingwa

Urafiki wa Azam na Simba unatuharibia ligi

Azam wameuza mechi na walipewa maagizo maalum kujilegeza kama wagonjwa

Huyo Sillah akicheza dhidi ya Yanga atajituma kama hatacheza tena ila mechi ya Simba aaaa yupo yupo anakimbiza hadi mwisho wa touch line

Azam itabaki team ndogo
Mwaka Jana tuliwabeba na kuwapeleka CAFCL
Mwaka huu hatuwabebi Bora tuwabebe Makolo watakaoshika nafasi ya pili
Leo,?
 
Moderators wangewapumzisha tuu maana soon watafwariki..πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒwana majanaba...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Bado unaweweseka la tukio la November 5, 2023
 
Kasome bango magomeni
Ulipigwa ngapi
Mwaka gani?
Kama vya zamani waweza jisifu navyo ona hiyo

587552206961.jpg
tapatalk_1580756931029.jpeg
 
Urafiki wa Azam na Simba unatuharibia ligi

Azam wameuza mechi na walipewa maagizo maalum kujilegeza kama wagonjwa

Huyo Sillah akicheza dhidi ya Yanga atajituma kama hatacheza tena ila mechi ya Simba aaaa yupo yupo anakimbiza hadi mwisho wa touch line

Azam itabaki team ndogo
Mwaka Jana tuliwabeba na kuwapeleka CAFCL
Mwaka huu hatuwabebi Bora tuwabebe Makolo watakaoshika nafasi ya pili
Mashabiki wa yanga kumbe hamna akili
 
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana
 
Kama mnalijua hilo ikawaje sasa nyie wake wa Sean Combs mkaanzisha nyuzi za kwamba Simba anaenda kupasuka mbele ya Azam?
 
Back
Top Bottom