Azam inamtaka Ibenge

Azam inamtaka Ibenge

Alikuwa analipwa USD 55,000 kwa Mwezi akiwa Burkene ila Al hilal wanamlipa USD 60,000 kwa mwezi

Source: Khartoum44 Sports
Duuh ibenge kumbe anakula pesa ndefu. Akija hapa bongo ndio atakuwa most paid Athlete.
 
Hata wamlete Mourinho bado Simba na Yanga ni dini za watanzania.

Ukweli ni kwamba wachezaji walioko azam hata sasa ni bora kuliko timu yoyote hapa Tanzania.
Tatizo kuu la azam fc ni kukosa hamasa za mashabiki kama za hawa kulwa na dotto.

Imagine kipindi Yanga anatembeza bakuli lakini anamaliza ligi nafasi ya pili azam fc nafasi ya tatu.

Ondoa watanzania wengi kwenye management weka wataalamu toka nje weka kocha wa uhakika na ongeza high quality players, ubingwa muhimu.
 
Tatizo kuu la azam fc ni kukosa hamasa za mashabiki kama za hawa kulwa na dotto.... Hili ni tatizo kweli lkn sio kubwa... Azam wenyewe washawahi kuibebab Ndoo na hali ikiwa hii hii.... tena afadhali kwa sasa.... Tatizo sio Azam, tatizo ni MFUMO WA SIASA ZA SOKA LA TANZANIA... mfumo umewekwa asikae "MPYA" juu ya KULWA & DOTTO... ndo mana Tukuyu alijaribu... akapotea... Maji Maji alijaribu... akapotea... Mseto.... Mtibwa... Coastal...
 
Back
Top Bottom