HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh ibenge kumbe anakula pesa ndefu. Akija hapa bongo ndio atakuwa most paid Athlete.Alikuwa analipwa USD 55,000 kwa Mwezi akiwa Burkene ila Al hilal wanamlipa USD 60,000 kwa mwezi
Source: Khartoum44 Sports
Timu inasajiri wachezaji sijui 35 wote wa nini?Well said, hili ndiyo tatizo kubwa la Azam
Aisee hatari...130 hiyo kwa mwezi. Bado sign on feeAlikuwa analipwa USD 55,000 kwa Mwezi akiwa Burkene ila Al hilal wanamlipa USD 60,000 kwa mwezi
Source: Khartoum44 Sports
Kumbe moyoni unaiheshimu sana Simba ila huwa unaamua kujivua akili tu.🤣🤣Hata wangemleta Pitso Mosimane! Bado wasitegemee kuzifunika hizo timu mbili kongwe. Wataishia tu kuliwa hela zao.
Hela wanayo,ila hawezi enda timu ndogo ndogo hiziHawana pesa ya kumlipa Ibenge
Wapi nimesema naiheshimu sana simba mkurugenzi!!Kumbe moyoni unaiheshimu sana Simba ila huwa unaamua kujivua akili tu.🤣🤣
Hujasema, mimi ndio nimesemaWapi nimesema naiheshimu sana simba mkurugenzi!!
Hakufikiria vzr...Yanga wafadhili ligi halafu washindwe kumlipa Ibenge. Huyu naye
Tatizo kuu la azam fc ni kukosa hamasa za mashabiki kama za hawa kulwa na dotto.... Hili ni tatizo kweli lkn sio kubwa... Azam wenyewe washawahi kuibebab Ndoo na hali ikiwa hii hii.... tena afadhali kwa sasa.... Tatizo sio Azam, tatizo ni MFUMO WA SIASA ZA SOKA LA TANZANIA... mfumo umewekwa asikae "MPYA" juu ya KULWA & DOTTO... ndo mana Tukuyu alijaribu... akapotea... Maji Maji alijaribu... akapotea... Mseto.... Mtibwa... Coastal...Hata wamlete Mourinho bado Simba na Yanga ni dini za watanzania.
Ukweli ni kwamba wachezaji walioko azam hata sasa ni bora kuliko timu yoyote hapa Tanzania.
Tatizo kuu la azam fc ni kukosa hamasa za mashabiki kama za hawa kulwa na dotto.
Imagine kipindi Yanga anatembeza bakuli lakini anamaliza ligi nafasi ya pili azam fc nafasi ya tatu.
Ondoa watanzania wengi kwenye management weka wataalamu toka nje weka kocha wa uhakika na ongeza high quality players, ubingwa muhimu.