Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Tatizo mnataka kuilazimisha Azam ilingane na Simba na Yanga wakati bado. Waendeleze juhudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi Yanga tunaumia for nothing. Sijui kwa nini?Timu gani chini ya Kocha mpya haikuwa bora ilihali kila mchezaji huitaji namba? Subirini baada ya mechi 5 mfululizo ndipo muhemukwe kuwa Makolokolo ni bora [emoji847]
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Aya 5 - 1, moyo wako umetulia sasaUto waliifunga lini Simba 7-2?au ndio mnajifariji kulipa kisasi cha 6-0?[emoji196][emoji196][emoji196]
Goli la offsideKwani unawachukulia poa Azam kufungwa kila timu inafungwa hiyo Azam msimu huu imembandua yanga
Mshono unawasha naona tutawaambia waje kuutoneshaAzam na mbumbumbu ni mtu na shoga yake
Yanga mna maumivu sana,yaani mlijipa asilimia kubwa kuwa Azam atashinda lakini imekuwa kinyume chake.Azam inaonekana timu kubwa katika makaratasi lakini ukweli ni timu ndogo kutokana na viongozi waliopo na hata wajao.
Kuendelea kubaki kucheza mechi za ligi zinazoandaliwa na TFF kutaimaliza kabisa Azam. Hivyo ni vema ikahamia Zanzibar ambako itapata ufuasi mkubwa na kuna timu nyoronyoro ambazo Azam itazimudu.