Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Wachukue ubingwa halafu Yanga achukue nini!?Hili chama la chamazi ukilipanga kosi lake sio mchezo, linatisha hasa.
Kama mwakani litashindwa kubeba ndoo kwa kweli wavunje timu.
Winga Sopu, winga mraja Casablanca, mido Akaminko mido Feitoto, muuaji ni Jini Makata Prince Dube na Idriss Mbombo.
Benchi kuna Lyanga, Nado, Bajana, Tepsi, Kipre Junior.
*****
Hao wachezaji uliowataja utawaona wazuri kwenye mechi dhidi ya Simba na Yanga pekee. Azam wanapoteza sana point kwa vitimu vidogo vidogo.Hili chama la chamazi ukilipanga kosi lake sio mchezo, linatisha hasa.
Kama mwakani litashindwa kubeba ndoo kwa kweli wavunje timu.
Winga Sopu, winga mraja Casablanca, mido Akaminko mido Feitoto, muuaji ni Jini Makata Prince Dube na Idriss Mbombo.
Benchi kuna Lyanga, Nado, Bajana, Tepsi, Kipre Junior.
*****
Kwa Simba tunachukuaLeo tubet mimi na wewe,msimu huu hamchukui point kwetu(ihefu)..
Ila Simba tumemla kote koteKwani mwaka jana na juzi ilikuwaje. Ilikuwa zaidi ya hivi
Kwa hiyo nikusaidie niniIla Simba tumemla kote kote
jidanganyeni tu,mnadhani majina yanachezaHili chama la chamazi ukilipanga kosi lake sio mchezo, linatisha hasa.
Kama mwakani litashindwa kubeba ndoo kwa kweli wavunje timu.
Winga Sopu, winga mraja Casablanca, mido Akaminko mido Feitoto, muuaji ni Jini Makata Prince Dube na Idriss Mbombo.
Benchi kuna Lyanga, Nado, Bajana, Tepsi, Kipre Junior.
*****
Halafu mwisho nani akawa bingwa kwahiyo misimu miwili?Kwani mwaka jana na juzi ilikuwaje. Ilikuwa zaidi ya hivi