Azam isipobeba ubingwa wala kushika nafasi ya 2 msimu ujao wavunje timu

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Hili chama la chamazi ukilipanga kosi lake sio mchezo, linatisha hasa.

Kama mwakani litashindwa kubeba ndoo kwa kweli wavunje timu.

Winga Sopu, winga mraja Casablanca, mido Akaminko mido Feitoto, muuaji ni Jini Makata Prince Dube na Idriss Mbombo.

Benchi kuna Lyanga, Nado, Bajana, Tepsi, Kipre Junior.

*****
 
Wachukue ubingwa halafu Yanga achukue nini!?
 
Hili chama la chamazi ukilipanga kosi lake sio mchezo, linatisha hasa.

Kama mwakani litashindwa kubeba ndoo kwa kweli wavunje timu.

Winga Sopu, winga mraja Casablanca, mido Akaminko mido Feitoto, muuaji ni Jini Makata Prince Dube na Idriss Mbombo.

Benchi kuna Lyanga, Nado, Bajana, Tepsi, Kipre Junior.

*****
Hao wachezaji uliowataja utawaona wazuri kwenye mechi dhidi ya Simba na Yanga pekee. Azam wanapoteza sana point kwa vitimu vidogo vidogo.
 
Hili chama la chamazi ukilipanga kosi lake sio mchezo, linatisha hasa.

Kama mwakani litashindwa kubeba ndoo kwa kweli wavunje timu.

Winga Sopu, winga mraja Casablanca, mido Akaminko mido Feitoto, muuaji ni Jini Makata Prince Dube na Idriss Mbombo.

Benchi kuna Lyanga, Nado, Bajana, Tepsi, Kipre Junior.

*****
jidanganyeni tu,mnadhani majina yanacheza
 
Kwenye hao wachezaji nani mmoja tu ulimuona alishiriki mashindano ya CAF hata hatua ya makundi achilia mbali robo fainali, usituambie timu yake kama huyo Djibril ambaye hakuwa kwenye kikosi kama ilivyo kwa kina Sawadogo, Shaibu Ninja, Ngushi timu zao zilicheza hatua za makundi mpaka fainali kwa Yanga.
 
Azam ni sawa tu na mtoto wa kitajiri ambaye ameridhika na mafanikio ya wazazi wake.

Yaani timu ina wachezaji wazuri, miundombinu mizuri, mishahara mizuri kwa wachezaji na benchi lote la ufundi, nk. Lakini haina presha ya kupambana kutoka kwa mashabiki! Hivyo kuwafanya wachezaji kuridhika/kubweteka
 
Timu haina namba 8 na 10 wa kueleweka hivyo haiwezi kutengeneza nafasi nyingi na kufunga goli nyingi hivyo haiwezi kubeba ubingwa
 
Azam kamwe hawezi kuzisumbua Simba na Yanga. Ligi anarusha yeye kwa mkataba wa miaka mingi. Mpira wa Tanzania ikiibuka timu ikachukua ubigwa miaka kumi mfululizo kama Psg au bayern tambua washabiki wa kolo na mbumbumbu fc hawataenda uwanjani wote. Azam yupo kuzuga tu ili apige biashara kupitia hao jamaa japo kiuchimi akiamua anaweza kubeba ubingwa hata miaka kumi mfululizo
 
Watachukua sisi wakijifunza kushinda mkoani kwa bahasha kama zifanyavyo simba na yanga
 
Ubaya ni kwamba azam ni kama baiskeli kunolea visu,kelele kibao ila iko pale pale.
 
Back
Top Bottom