Azam kuna magarasa mengi msimu huu, Feitoto anafanya kazi zote uwanjani kama house boy

Azam kuna magarasa mengi msimu huu, Feitoto anafanya kazi zote uwanjani kama house boy

mid field pale ni useless players tu. amna mtu wa kupambana na ku hold team.

azam fc anatakiwa afukuze viongozi wote na benchi la ufundi lote.

anyway kikao kimefanyika leo na kesho pia. watu wataondoka
Azam ana team but uongozi hauna effect yoyote moaka coaching. Watafute watu wanaojua hizo kazi
 
20 % za hisa wapewe mashabiki. . Things will change
Is not about hisa, is about uongozi.

azam ni timu ndogo yenye pesa. Uongiz haujui utumiaje pesa kuimarisha team

Mfano msogo benchi la ufundi, limekuwa hapo for many years? Nini wamepata?
Bado wana zile mentality za kizamani, wakati football imechange sana
 
Naomba niseme mapema kabisa kabla Azam hawajaanza kucheza mechi za NBCPL.

Nimetizama mechi nne za azam za msimu huu, kuna kitu nimekiona ambacho wengi hamjakiona mbaya zaidi mnasifu eti azam inakikosi kizuri, kwa maoni yangu azam ya msimu huu ni mbovu kuliko ya msimu uliopita.

Beki wa kushoto wa azam ni kama beki wa Tembo Fc ya Tabora, yaani hajui kazi yake hajui kuziba gepu anqkaa qnamuangalia adui aliyesimama pembeni umbali wa mita 30 anasubiri krosi ipigwe ndio aanze kukimbia

Winga wa kushoto wa azam anazidiwa na yule jamaa wa mtibwa sugar, yaani anakimbia na mpira karibu na goli la adui hajui kupiga krosi mpaka ageuke na mpira ndio apige kwa mguu wa kulia tena kwa taabu mwisho wa siku anapokonywa au anaurudisha uliko toka. Hajui kufanya counter attack.

Namba nane wa azam sijui huwa anasimama wapi yaani huwezi kuona akichezesha mipira kwenda mbele

Namba kumi wa azam sijui anaitwa nani yaani huwezi kuona akifanya kazi yake pia hata namba kumi na moja

Kuna beki wa kulia anaitwa Yoro Diabi huyu naye ni garasa mpaka bangala anafanya kazi zisizo zake mwisho wa siku anaonekana mbovu

Fei toto ni house boy wa uwanjani
Huyu kijana analazimika kufanya kazi zote za magarasa ya Azam anacheza namba 6, 8, 11, 10, 9 na 4
Yaani beki ni yeye winga ni yeye mkabaji ni yeye mfungaji ni yeye

Feitoto penati zote hutokea kwake, faulo nyingi hutokea kwake pia amehusika na magoli mengi

Huyu ni house boy anasafisha uchafu wa magarasa mengi hapo azam

Nawasilisha.
huyo fei ndio analipwa pesa ndefu ni lazima awe hausiboi
 
Back
Top Bottom