Azam kuna magarasa mengi msimu huu, Feitoto anafanya kazi zote uwanjani kama house boy

mid field pale ni useless players tu. amna mtu wa kupambana na ku hold team.

azam fc anatakiwa afukuze viongozi wote na benchi la ufundi lote.

anyway kikao kimefanyika leo na kesho pia. watu wataondoka
Azam ana team but uongozi hauna effect yoyote moaka coaching. Watafute watu wanaojua hizo kazi
 
20 % za hisa wapewe mashabiki. . Things will change
Is not about hisa, is about uongozi.

azam ni timu ndogo yenye pesa. Uongiz haujui utumiaje pesa kuimarisha team

Mfano msogo benchi la ufundi, limekuwa hapo for many years? Nini wamepata?
Bado wana zile mentality za kizamani, wakati football imechange sana
 
huyo fei ndio analipwa pesa ndefu ni lazima awe hausiboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…