Azam kuonesha mechi ya Yanga na Al Hilal

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Naam, baada ya vibonde Al Hilal kunusurika kupigwa kama ngoma uwanja wa Mkapa silaha yao kubwa iliyokuwa imebaki ni kutaka kuchezea mechi gizani, yaani isonyeshwe kwenye TV. Lakini Azam TV wamefanikiwa kupangua baada ya kuwashawishi ma bosi wa Al Hilal kuonyesha mechi hiyo.

Ikumbukwe kwamba Yanga kupitia kwa msemaji wao Ally Kamwe ilishawatoa hofu wana Yanga kwa kuwakumbusha kwamba Yanga ina uwekezaji mkubwa na ina wachezaji wakubwa wenye wasifukubwa kuliko Al Hilal.

Ikumbukwe yanga ina MVP wa Ivory Coast mwaka jana KI AZIZ, Yanga ina mchezaji mkubwa sana aliyecheza newcastle UTD Bigirimana. Jamaa anapiga pasi kinoma zenye macho, yaani ina kiungo bora namba 2 wa Ligi ya Kenya mwaka 2018 Khalid Aucho, ina kipa aliyecheza Kombe la Vijana la Dunia na kushika nafasi ya 3, Diarra
ina Bangal MVP wa bongo. Ina uwekezaji wa tajiri asiye mbahili anayemwga mapesa bila mawazo wala kuhesabu katoa sh. ngapi, Gharib.

Yanga alishinda goli 4 -0 ugenini dhidi ya Zalan, marudiano yalipofanyika nyumbani akashinda 5-0. Unadhani kwanini asishinde goli 2-0 hapo Sudan, Khartoum?

azam sudan.JPG
 
Azam ni mojawapo ya channel iliyouziwa haki za kuonesha. Maana timu mwenyeji ndie ana haki za content za hiyo mechi.

AL hilal mechi zake zote huwa zinakuwa na camera na kurushwa kwenye TV. Ni mojawapo ya chanzo chao cha mapato

Azam ameuziwa haki ya ku Transfer mechi hiyo..

Azam hapeleki camera kurekodi kama anavyorekodi mechi za hapa Tanzania. Ni sawa na TBC inavyoonesha mechi ya kombe la dunia. Usifikiri TBC ndie anaenda kurekodi na kamera zake

Usilete uongo uongo eti anarusha sababu ya Azam.

Kila mwaka Al Hilal huwa anacheza klabu bingwa africa na mechi zake huwa zinaoneshwa dstv
 
umemaliza? haya rudi kwenye hoja ya msingi sasa..al hilal haina uwekezaji mkubwa kama yanga , atapigwa kama ngoma
 
Naam, baada ya vibonde Al Hilal kunusurika kupigwa kama ngoma uwanja wa Mkapa silaha yao kubwa iliyokuwa imebaki ni kutaka kuchezea mechi gizani, yaani isonyeshwe kwenye TV. Lakini Azam TV wamefanikiwa kupangua baada ya kuwashawishi ma bosi wa Al Hilal kuonyesha mechi hiyo.

Ikumbukwe kwamba Yanga kupitia kwa msemaji wao Ally Kamwe ilishawatoa hofu wana Yanga kwa kuwakumbusha kwamba Yanga ina uwekezaji mkubwa na ina wachezaji wakubwa wenye wasifukubwa kuliko Al Hilal.

Ikumbukwe yanga ina MVP wa Ivory Coast mwaka jana KI AZIZ, Yanga ina mchezaji mkubwa sana aliyecheza newcastle UTD Bigirimana. Jamaa anapiga pasi kinoma zenye macho, yaani ina kiungo bora namba 2 wa Ligi ya Kenya mwaka 2018 Khalid Aucho, ina kipa aliyecheza Kombe la Vijana la Dunia na kushika nafasi ya 3, Diarra
ina Bangal MVP wa bongo. Ina uwekezaji wa tajiri asiye mbahili anayemwga mapesa bila mawazo wala kuhesabu katoa sh. ngapi, Gharib.

Yanga alishinda goli 4 -0 ugenini dhidi ya Zalan, marudiano yalipofanyika nyumbani akashinda 5-0. Unadhani kwanini asishinde goli 2-0 hapo Sudan, Khartoum?

View attachment 2381596
Ikumbukwe kwamba Yanga kupitia kwa msemaji wao Ally Kamwe ilishawatoa hofu wana Yanga kwa kuwakumbusha kwamba Yanga ina uwekezaji mkubwa na ina wachezaji wakubwa wenye wasifukubwa kuliko Al Hilal.[emoji23]
 
Msamehe kijana mkuu, bado anajifunza kazi, muda c mrf atakua msemaji bora sana. Hapo aliteleza kwakwel.
 
Mwandishi wa michezo Musa Abdul, msudan huyu ameandika kwenye twitter yake kwamba mechi ya team kubwa barani afrika Young africans dhidi ya vibonde underdog al hilal itaonyeshwa kwenye Azam Tv

Haya kazi kwenu Yanga kuonyesha ukubwa wenu na kupindua meza kama wakubwa wenzenu Ahly, Mazembe, Wydad wanavyofanyaga msiwe kama makolo vibonde vinavyodharaulika Afrika

itaonyeshwa.JPG
azam sudan.JPG
 
BAADA YA SHABIKI WA SIMBA KUALIKWA AL HILAL SHABIKI WA UTOPOLO NAYE AALIKWA KWENYE KITCHEN PARTY[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Azam ni mojawapo ya channel iliyouziwa haki za kuonesha. Maana timu mwenyeji ndie ana haki za content za hiyo mechi.

AL hilal mechi zake zote huwa zinakuwa na camera na kurushwa kwenye TV. Ni mojawapo ya chanzo chao cha mapato

Azam ameuziwa haki ya ku Transfer mechi hiyo..

Azam hapeleki camera kurekodi kama anavyorekodi mechi za hapa Tanzania. Ni sawa na TBC inavyoonesha mechi ya kombe la dunia. Usifikiri TBC ndie anaenda kurekodi na kamera zake

Usilete uongo uongo eti anarusha sababu ya Azam.

Kila mwaka Al Hilal huwa anacheza klabu bingwa africa na mechi zake huwa zinaoneshwa dstv
Hiki ni sahihi sana mkuu.sema mtoa uzi anatafuta Kiki tu
 
Back
Top Bottom