Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Tuacheni masihala, ukiondoa EPL na ligi ya Tz, ligi nyingine yenye kuvutia kwa watanzania huenda ni La Liga kwa sababu ya vilabu vya Real Madrid na Barcelona.
Binafsi ningewashauri Azam wajikiti kwenye vitu vya msingi zaidi. Kwa kuwa wanashindwa kuonyesha EPL, basi wapambane kuweza kuonyesha UEFA championship kama wanavyoweza kuonyesha ligi ya Tanzania.
Mpaka leo huwa najiuliza, hivi ilikuwaje kipindi kile ITV walikuwa wanaweza kuonyesha UEFA championship, na pia Channel ten wakaweza kutuonyesha UEFA championship tena bure kabisa, halafu Azam media wanashindwa leo hii wakati tunalipia king'amuzi?