azam kutoa la-liga, na kuleta bundasilga ,nini maoni yako?

azam kutoa la-liga, na kuleta bundasilga ,nini maoni yako?

Tuacheni masihala, ukiondoa EPL na ligi ya Tz, ligi nyingine yenye kuvutia kwa watanzania huenda ni La Liga kwa sababu ya vilabu vya Real Madrid na Barcelona.

Binafsi ningewashauri Azam wajikiti kwenye vitu vya msingi zaidi. Kwa kuwa wanashindwa kuonyesha EPL, basi wapambane kuweza kuonyesha UEFA championship kama wanavyoweza kuonyesha ligi ya Tanzania.

Mpaka leo huwa najiuliza, hivi ilikuwaje kipindi kile ITV walikuwa wanaweza kuonyesha UEFA championship, na pia Channel ten wakaweza kutuonyesha UEFA championship tena bure kabisa, halafu Azam media wanashindwa leo hii wakati tunalipia king'amuzi?
 
Wamefeli big time, ni mara mia nilipie dstv compact 49000 nione ligi zote za ulaya, kinachoibeba azam ni vpl peke yake
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wamefeli big time, ni mara mia nilipie dstv compact 49000 nione ligi zote za ulaya, kinachoibeba azam ni vpl peke yake
Kumbe ili kuona ligi zote za ulaya kwenye king'amuzi cha dstv unalipia sh 49,000 tu?
 
Lipia Azam 28,Dstv 19,000 unapata Bundesliga, Laliga, Vpl na baadhi ya mechi za EPL.. Reasonable payments

Ila nahisi DSTV wataitoa Laliga kwenye kifurushi cha 19000 baada ya kuona Azam hawaonyeshi.
 
ukiiondoa Dstv inayofuata ni StarTimes kwa kuonyesha football na hawana longo longo, wakisema tunaonyesha mashindano fulani mjue mtaangalia mechi zote, kwa Sasa wanaonyesha Laliga, Bundesliga, Chinese super Ligue, Europe league, Copper italia Uganda premier League na pia nasikia wamepata kibali cha kuonyesha ligi ya Ghana na Kenya, na pia wanaonyesha mashindano makubwa kama Copa America, Europe super Ligue, Euro na World Cup, sema jamaa hawana promo ila wako vizuri
 
hata alivyokuwepo ronaldo
bado bundesliga niiona bora kuangalia mechi zake kwa ujumla kushinda la liga
 
Wakuu nimeanza kuangalia leo hii bundesliga...aisee ni nzuri tofauti na la liga..mpira unaopigwa ni kwikwi
 
kwangu mimi naona huku ni kuchemka kabisa kama EPL imeshindikana ni bora tungebaki Spain, na la liga yetu, ambapo walau kuna mabingwa wawili, Barcelona na Real Madrid, kuliko huku ambapo unaona kabisa Bayern anatawala peke yake,

wewe unaonaje
Soon nafunga diestivi,wapumbavu sana hawa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wakuu nimeanza kuangalia leo hii bundesliga...aisee ni nzuri tofauti na la liga..mpira unaopigwa ni kwikwi
Acha zako,utakuwa unaangalia Buyern tu? Kule kuna kina Chimi Avila,Ocampos na mafundi wengine wakutosha tu.......
 
Nilimsikiliza Charles Hilal Jana kwenye U live pale Ufm...point kubwa amesema "ilikua La liga ili watu wamuone Ronaldo na Messi...Ronaldo ameondoka, Messi alikua anatingisha kuondoka"
Kifupi nimemuelewa wameangalia biashara...lewandowisk...Mula..Gnabri...Sancho..Haland ni business kwa sasa kuliko kina Benzema..Ramos...Modric..pia kumbuka waliassume kama Messi anaondoka.
Siyo kweli,diestivi wamewazidi ujanja,leo nilikuwa na jamaa wa diestivii anasema wanaitaka na ligi ya bongo,wanauchungungulia tu mkataba wao pale tifua tifua.....
 
Siyo kweli,diestivi wamewazidi ujanja,leo nilikuwa na jamaa wa diestivii anasema wanaitaka na ligi ya bongo,wanauchungungulia tu mkataba wao pale tifua tifua.....
Siyo kweli nini sasa? mi ndo nimedanganya au Charles Hilal...Wabongo mnabishana mpaka na Radio?
 
kwangu mimi naona huku ni kuchemka kabisa kama EPL imeshindikana ni bora tungebaki Spain, na la liga yetu, ambapo walau kuna mabingwa wawili, Barcelona na Real Madrid, kuliko huku ambapo unaona kabisa Bayern anatawala peke yake,

wewe unaonaje

Wakileta EPL watawambia lipeni kifurushi elf 40 je utalipa?

Shida yetu wabongo tunataka mambo Mazuri na makubwa kwa cheapest
 
Wamechemka. Ukilinganisha Laliga na hiyo Bundesiliga, hakika Laliga ilikua na unafuu na mvuto zaidi. Itatubidi sasa kuanza kuzikariri timu za Ujerumani!

Huku ni kuchoshana.

Dstv ipo
 
Back
Top Bottom