Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kumbe ili kuona ligi zote za ulaya kwenye king'amuzi cha dstv unalipia sh 49,000 tu?Wamefeli big time, ni mara mia nilipie dstv compact 49000 nione ligi zote za ulaya, kinachoibeba azam ni vpl peke yake
Kaburu si yupo nunua mzeeWababaishaji tu kitu epl ndiyo mwisho wa reli
Sio kweli,sio ligi zoteKumbe ili kuona ligi zote za ulaya kwenye king'amuzi cha dstv unalipia sh 49,000 tu?
Soon nafunga diestivi,wapumbavu sana hawakwangu mimi naona huku ni kuchemka kabisa kama EPL imeshindikana ni bora tungebaki Spain, na la liga yetu, ambapo walau kuna mabingwa wawili, Barcelona na Real Madrid, kuliko huku ambapo unaona kabisa Bayern anatawala peke yake,
wewe unaonaje
Acha zako,utakuwa unaangalia Buyern tu? Kule kuna kina Chimi Avila,Ocampos na mafundi wengine wakutosha tu.......Wakuu nimeanza kuangalia leo hii bundesliga...aisee ni nzuri tofauti na la liga..mpira unaopigwa ni kwikwi
Siyo kweli,diestivi wamewazidi ujanja,leo nilikuwa na jamaa wa diestivii anasema wanaitaka na ligi ya bongo,wanauchungungulia tu mkataba wao pale tifua tifua.....Nilimsikiliza Charles Hilal Jana kwenye U live pale Ufm...point kubwa amesema "ilikua La liga ili watu wamuone Ronaldo na Messi...Ronaldo ameondoka, Messi alikua anatingisha kuondoka"
Kifupi nimemuelewa wameangalia biashara...lewandowisk...Mula..Gnabri...Sancho..Haland ni business kwa sasa kuliko kina Benzema..Ramos...Modric..pia kumbuka waliassume kama Messi anaondoka.
Siyo kweli nini sasa? mi ndo nimedanganya au Charles Hilal...Wabongo mnabishana mpaka na Radio?Siyo kweli,diestivi wamewazidi ujanja,leo nilikuwa na jamaa wa diestivii anasema wanaitaka na ligi ya bongo,wanauchungungulia tu mkataba wao pale tifua tifua.....
kwangu mimi naona huku ni kuchemka kabisa kama EPL imeshindikana ni bora tungebaki Spain, na la liga yetu, ambapo walau kuna mabingwa wawili, Barcelona na Real Madrid, kuliko huku ambapo unaona kabisa Bayern anatawala peke yake,
wewe unaonaje
Wamechemka. Ukilinganisha Laliga na hiyo Bundesiliga, hakika Laliga ilikua na unafuu na mvuto zaidi. Itatubidi sasa kuanza kuzikariri timu za Ujerumani!
Huku ni kuchoshana.
[emoji112][emoji112][emoji112][emoji3][emoji3][emoji3]Na Mshindi wetu katika vita ya "Quotes" ni Nyenyere
🙂 Yeye ni mshindi.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app