M Maili tatu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2020 Posts 830 Reaction score 1,070 Sep 19, 2020 #41 Bundesliga bana ligi ambayo mtu kupigwa nane bila kutoka kwa bavarians bayern munchen ni kitu cha kawaida kabisa
Bundesliga bana ligi ambayo mtu kupigwa nane bila kutoka kwa bavarians bayern munchen ni kitu cha kawaida kabisa
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Sep 19, 2020 #42 Kelevra said: Siyo kweli nini sasa? mi ndo nimedanganya au Charles Hilal...Wabongo mnabishana mpaka na Radio? Click to expand... Sasa ulitaka Chalesi asemeje?
Kelevra said: Siyo kweli nini sasa? mi ndo nimedanganya au Charles Hilal...Wabongo mnabishana mpaka na Radio? Click to expand... Sasa ulitaka Chalesi asemeje?
Mtumpole JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,278 Reaction score 1,288 Sep 20, 2020 #43 Kwasababu ya Yanga kuwa na mahusiano na La Liga Sent using Jamii Forums mobile app
Kelevra JF-Expert Member Joined Nov 23, 2018 Posts 1,053 Reaction score 2,010 Sep 20, 2020 #44 Maili tatu said: Bundesliga bana ligi ambayo mtu kupigwa nane bila kutoka kwa bavarians bayern munchen ni kitu cha kawaida kabisa Click to expand... Bavarians ukijchanganya wanakupiga nyingi tu uwe umetoka Bundesliga...la liga...EPL hata ligi ya sayari ya Mars. Ukijichanganya kwao wanakupiga nyingi tu hawataki mazoea nao watu
Maili tatu said: Bundesliga bana ligi ambayo mtu kupigwa nane bila kutoka kwa bavarians bayern munchen ni kitu cha kawaida kabisa Click to expand... Bavarians ukijchanganya wanakupiga nyingi tu uwe umetoka Bundesliga...la liga...EPL hata ligi ya sayari ya Mars. Ukijichanganya kwao wanakupiga nyingi tu hawataki mazoea nao watu