azam kutoa la-liga, na kuleta bundasilga ,nini maoni yako?

Bundesliga bana ligi ambayo mtu kupigwa nane bila kutoka kwa bavarians bayern munchen ni kitu cha kawaida kabisa
 
Bavarians ukijchanganya wanakupiga nyingi tu uwe umetoka Bundesliga...la liga...EPL hata ligi ya sayari ya Mars.

Ukijichanganya kwao wanakupiga nyingi tu hawataki mazoea nao watu
 
Back
Top Bottom