Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serie A imo kwenye rai channelYawezekana wamekosa haki za kurusha tena la liga....ila binafsi naona bora wangeenda kwenye serie A kuliko bundesliga
Hata Messi akisepa laliga huwezi linganisha na BundesligaMessi anaondoka soon. Ligi hiyo mvuto wake ndiyo unaishia hivyo. Ramos kamuomba Messi abaki akisema Messi ni nembo ya La Liga. Akienda ni watu wangapi wataifuatilia La Liga?
Azam kaona mbali.
Wanaonesha baadhi ya mechi, sio full mkoba.Serie A imo kwenye rai channel
Huwa wanaonyesha lini mkuu? Au ni kama Utv wanavyoonyesha game moja ya EPL jumamosi? msaada kwa tuta pliz!Wanaonesha baadhi ya mechi, sio full mkoba.