Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu?

Jamaa alivyotaja milioni 50 kama ya individual person.
Hiyo ni ya taasisi. Ulitaka mabadiriko gani.
Hiyo ni kama kipoozeo tu. 50ml is nothing of changes kwa timu kama za ligi kuu. Ila ina impact kwa azam kama mrusha matangazo.
 
50 per month au ni baada ya msimu wa ligi kuisha kila timu inapewa pesa yake kutokana na nafasi aliyomalizia.

Mfano
Mshindi wa ligi anapewa 500m kutoka azam + 100m kutoka NBC

Anayeshika nafasi ya mwisho anapewa nadhani ni 25m

Au tofauti na hizo za mwisho la ligi ndio kuna hiyo 50m kwa mwezi.?
 
ni milioni 50 kila mwezi kwa kila timu

pesa za kumaliza nafasi flan mwisho wa ligi ni tofauti, Yanga atapewa milioni 500 kuwa bingwa, Mtibwa wanaagwa na milioni 25, hii haihusiani na milioni 50 walizokuwa wanapokea kila mwezi kwenye msimu wa ligi
 
Yajitokeze makampuni mengine nayo yaongezee hata milioni kumi kumi kwa timu zote; itasaidia sana.
 
Timu za ligi kuu zimeweza kutoa ushindani,tatizo la usafiri limeisha.
Fedha zitolewazo zikisimamiwa vizuri na kufanya kazi kusudiwa italeta motisha kwa wachezaji na kuongeza ushindani.
 
Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu?

Ewe mdau wa soka la Tanzania, umeona mabadiliko?

Mimi nadhani ni nyingi sana zilikuwa timu 16 mara milioni 50 inakuwa milioni 800 kwa mwezi mara hiyo miezi ambayo timu zimecheza sijafuatilia ilikuwa ni miezi mingapi tusibeze sana wenzetu wanao jitolea japo na wao wanaingiza pesa kumbuka kuna gharama za uendeshaji pia
 
Back
Top Bottom