Azam kwanye ile bil 40 yetu tunaomba mtutangulize 20 tuinunue Simba

Azam kwanye ile bil 40 yetu tunaomba mtutangulize 20 tuinunue Simba

Mooooo!! Tunataka Bilioni zetu 20!! Ukikataa tunakinukisha. Tumegundua udhamini wako haueleweki!! Kama kisingizio ni hao wachezaji, karibia wote wamezeeka!! Na kuanzia mwakani, ubingwa hakuna tena!!

Tutazificha wapi sura zetu?
 
Azam kwanye ile bil 40 yetu tunaomba mtutangulize 20 tuinunue Simba
Washabiki wa Yanga wanashindwa kutofautisha kati ya uwekezaji na udhamini. Wanadhani akiwapo mwekezaji basi udhamini unakuwa haupo tena! Na ndio maana wanalinganisha sh. 37B za mdhamini vs 20B za mwekezaji! Kwa maana hiyo, kwao mchakato wa uwkezaji hauna maana tena na hata mkutano walioufanya kuidhinisha mabadiliko hauna maana tena, kwa kuwa tayari mtu wa kutoa 37B amepatikana!
 
Bora 200m inayoonekana kuliko mali kauli ya 20bn mmepigwa saundi
Wewe ndo unaeona ni ya mali kauli,ila wenye akili tunaona jinsi ambavyo pesa zinatumika mpaka hapo Simba Sc ilipofikia.

Hata hivyo lengi langu ilikuwa ni kuwakumbusha mapopoma wachache ukiwamo wewe na muanzisha thread kuwa, hizo hela hazitaingizwa zote kea mara moja kama alivyoandika mwenye thread.
 
Washabiki wa Yanga wanashindwa kutofautisha kati ya uwekezaji na udhamini. Wanadhani akiwapo mwekezaji basi udhamini unakuwa haupo tena! Na ndio maana wanalinganisha sh. 37B za mdhamini vs 20B za mwekezaji! Kwa maana hiyo, kwao mchakato wa uwkezaji hauna maana tena na hata mkutano walioufanya kuidhinisha mabadiliko hauna maana tena, kwa kuwa tayari mtu wa kutoa 37B amepatikana!
uwelewa wako ndio umeishia hapo,tabu Sana[emoji848]
 
Huyu mwamedi katuweza kweli kweli....yaani 21B amiliki timu yetu maisha, wakati wenzetu 41B ni kwa miaka 10 tu! Hatuwezi kukubali upumbavu huu!
 
Ni wazo zuri mzee Bakhresa atoe Bilion 20 kwanza tuinunue hiyo simba.
 
Back
Top Bottom