Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora 200m inayoonekana kuliko mali kauli ya 20bn mmepigwa saundiUtopolo kazi sana, kwa taarifa yako tu, hizo hela hamtapewa kwa wakati mmoja. Mtakuwa mnaingiziwa 200M per months.
Kwahiyo hizo habari za kutanguliziwa ni za kijinga[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Washabiki wa Yanga wanashindwa kutofautisha kati ya uwekezaji na udhamini. Wanadhani akiwapo mwekezaji basi udhamini unakuwa haupo tena! Na ndio maana wanalinganisha sh. 37B za mdhamini vs 20B za mwekezaji! Kwa maana hiyo, kwao mchakato wa uwkezaji hauna maana tena na hata mkutano walioufanya kuidhinisha mabadiliko hauna maana tena, kwa kuwa tayari mtu wa kutoa 37B amepatikana!Azam kwanye ile bil 40 yetu tunaomba mtutangulize 20 tuinunue Simba
Wewe ndo unaeona ni ya mali kauli,ila wenye akili tunaona jinsi ambavyo pesa zinatumika mpaka hapo Simba Sc ilipofikia.Bora 200m inayoonekana kuliko mali kauli ya 20bn mmepigwa saundi
Kwenye bilioni yenu na nani,anakujua nani hapo kidimbwini?Azam kwanye ile bil 40 yetu tunaomba mtutangulize 20 tuinunue Simba
Ni mali kauli kweli, lakini hujawai ona wakilia njaa kama nyie,Bora 200m inayoonekana kuliko mali kauli ya 20bn mmepigwa saundi
uwelewa wako ndio umeishia hapo,tabu Sana[emoji848]Washabiki wa Yanga wanashindwa kutofautisha kati ya uwekezaji na udhamini. Wanadhani akiwapo mwekezaji basi udhamini unakuwa haupo tena! Na ndio maana wanalinganisha sh. 37B za mdhamini vs 20B za mwekezaji! Kwa maana hiyo, kwao mchakato wa uwkezaji hauna maana tena na hata mkutano walioufanya kuidhinisha mabadiliko hauna maana tena, kwa kuwa tayari mtu wa kutoa 37B amepatikana!
ng'ombe hawezi kumwaga Ela na huko aliko katingwa maana wanachama wanaweza itisha kikao kutaka ufafanuzi juu ya Mambo kadha wa kadha.Hahahahah kudadadeki hapa mpira ulipofikia ni Mo na Bhakressa sasa wapambane kumwaga hela
Hahahahahng'ombe hawezi kumwaga Ela na huko aliko katingwa maana wanachama wanaweza itisha kikao kutaka ufafanuzi juu ya Mambo kadha wa kadha.
Si unakumbuka Mzee SSB aliBID 35 B kumnunua MNYAMA! Hii vita wanaiweza waoHahahahah kudadadeki hapa mpira ulipofikia ni Mo na Bhakressa sasa wapambane kumwaga hela